Philemon 18-19

18 aKama amekukosea lolote au kama unamdai chochote, nidai mimi. 19 bNi mimi Paulo, ninayeandika waraka huu kwa mkono wangu mwenyewe. Nitakulipa. Sitaji kwamba nakudai hata nafsi yako.
Copyright information for SwhNEN